Ndugu Shy-Rose BHANJI
William Malecela,Amepitishwa
--
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana leo jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Katika kikao hicho Kamati Kuu ilijadili na kuteua wagombea Ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki kama ifuatavyo:-

Tanzania
  Bara
 
(a) Wanawake:

Waliojitokeza ni kumi na saba (17)

Waliopendekezwa ni kumi na wawili (12)

Na.
Jina Uamuzi wa Kamati Kuu

1
  Ndugu Janeth Deo MMARI
Amependekezwa


2
Ndugu Janet Zebedayo MBENE
Amependekezwa


3
Ndugu Fancy Haji NKUHI
Amependekezwa


4
Ndugu Norah Petro MUKAMI
Amependekezwa


5
Ndugu Shally Joseph RAYMOND
Amependekezwa


6
Ndugu Shy-Rose BHANJI
Amependekezwa


7
Ndugu Ngollo MALENYA
Amependekezwa


8
Ndugu Godbertha KINYONDO
Amependekezwa


9
Ndugu Hamidah Kisaka KALUA
Amependekezwa


10
Ndugu Angela KIZIGHA
Amependekezwa


11
Ndugu Happyness Elias LUGIKO
Amependekezwa


12
Ndugu Ruth Blasio MSAFIRI
Amependekezwa


(a)
Wanaume:

Waliojitokeza ni arobaini na sita (45)

Waliopendekezwa ni kumi na saba (17)


Na.
Jina Uamuzi wa Kamati Kuu
1
Dkt. Aman Walid KABOUROU
Amependekezwa


2
Ndugu John Juma NGONGOLO
Amependekezwa


3
Dkt. Evans Mujini RWEIKIZA
Amependekezwa


4
Ndugu Siraju Juma KABOYONGA
Amependekezwa


5
Ndugu Bernard Simon MURUNYA
Amependekezwa


6
Dkt. Edmond Bernard MNDOLWA
Amependekezwa


7
Ndugu Christopher Simeon AWINIA
Amependekezwa


8
Dkt. Hilderbrand Ezekiel SHAYO
Amependekezwa


9
Ndugu Charles Makongoro NYERERE
Amependekezwa


10
Ndugu Adam Omar KIMBISA
Amependekezwa


11
Ndugu Elibariki Immanuel KINGU
Amependekezwa


12
Ndugu Simon Sales BEREGE
Amependekezwa


13
Ndugu Mrisho GAMBO
Amependekezwa

 
14
Ndugu Handley Mpoki MAFWEGA
Amependekezwa


15
Ndugu William John MALECELA
Amependekezwa


16
Ndugu Mussa Elias MNYETI
Amependekezwa


17
Ndugu Godfrey Conrad MOSHA
Amependekezwa


ZANZIBAR

(a)
Wanawake:
 
Waliojitokeza ni nane (8)

Waliopendekezwa ni watano (5)


Na.
Jina Uamuzi wa Kamati Kuu

1
Ndugu Septuu Mohammed NASSOR
Amependekezwa


2
Ndugu Safia Ali RIJAAL
Amependekezwa


3
Ndugu Rukia Seif MSELLEM
Amependekezwa


4
Ndugu Sabah Saleh ALI
Amependekezwa


5
Ndugu Maryam Ussi YAHAYA
Amependekezwa


(b)
Wanaume:
Waliojitokeza ni nane (8)

Waliopendekezwa ni nane (8)



Na.
Jina Uamuzi wa Kamati Kuu

1
Dkt. Said Gharib BILAL
Amependekezwa


2
Ndugu Abdallah Ali H. MWINYI
Amependekezwa


3
Dkt. Haji Mwita HAJI Amependekezwa
4
Dkt. Ahmada Hamad KHATIB
Amependekezwa


5
Ndugu Zubeir Ali MAULID
Amependekezwa


6
Ndugu Khamis Jabir MAKAME
Amependekezwa


7
Ndugu Abdul-Aziz Salim ABDUL-AZIZ
Amependekezwa


8
Ndugu Mbwana Yahya MWINYI
Amependekezwa

 

Majina ya walioteuliwa yatafikiwa kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM tarehe 3 Aprili, 2012. Kamati Kuu imewateua wafuatao kusimamia uchaguzi huo.


(1) Ndugu Abdulrahaman O. Kinana - Mjumbe wa Kamati Kuu

(2) Ndugu Nape M. Nnauye – Katibu wa Itikadi na Uenezi

(3) Ndugu Dogo Mabrouk – Makamu Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi


Imetolewa na:-


Nape M. Nnauye,

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

ITIKADI NA UENEZI

28/03/2012

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.