Makamu wa Kweanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Zanzibar Dk.Amina, akitowa maelezo ya jengo la Makumbusho ya Taifa la Betil Aljaib Forodhani.
 Msimamizi wa Ujenzi Mansoor Rashid, akitowa maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Makumbusho ya Taifa Mnazi mmoja unaofanywa na Kampuni ya Lucky Constration Ltd , wakati wa ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea jengo hilo na kuona maendeleo yake jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar MaalimSeif Sharif Hamad, akiangalia  vitu vya zamani vilivyohifadhiwa katika Makumbosho ya Taifa Mnazimmoja ,wakati wa ziara yake jana.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza mfanyakazi wa Makumbusho ya Taifa katika jengo la Mnazimmoja Mwalimu Khamis,alipofika kujionea historia ya Zanzibar iliohifadhiwa katika makumbosho hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipata maelezo ya Magofu ya Mtoni katika kitabu kinacoeleza historia ya magofu hayo kutoka kwa Maneja wa Hoteli ya Mtoni Marine Tonino Garav, akiwa katika ziara ya kutembelea majengo ya historia ya Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza Meneja wa Kampuni ya Ujenzi ya Lucky Constration Ltd, Ali Said Seif, akitowa maelezo ya ujenzi huo unaofanywa na kampuni yake.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea Magofu ya Mtoni kuangalia uendelezaji wake kwa matumizi ya Historia ya Zanzibar kwa vizazi vijavyo na vivutio vya Utalii wa Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*