MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA MKAKATI WA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA ELIMU KATA YA KIPAWA DAR

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akiongea na wananchi wa  kata ya Kipawa iliopo katika Manispaa ya Ilala mkoa wa  Dar es Salaam  Machi 17,2012 wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundo-mbinu ya Elimu ya kata hiyo,ambapo mgeni rasmi alikuwa  Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete( pichani hayupo). Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Baadhi ya wanafunzi wakijipanga kwaajili ya kuanza matembezi ya Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundo- Mbinu ya Elimu katika kata ya Kipawa , Manispaa ya Ilala -Machi 17,2012- Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (alievaa traki suti ya Blue) akizindua Matembezi ya  Mkakati wa Uboreshaji wa Miundo-mbinu ya Elimu katikakata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala,mkoa wa Dar es Salaam Machi,17,2012.(pichani kutoka kulia wapili mwenye miwani)ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala.Jerry Slaa,(akifuatiwa na alievaa traki suti nyeupe)  Diwani wa Kata ya Kipawa Bona Kalua, Sherehe hio pia imehudhuriwa na viongozi mbalimballi wa Serikali na wadau wa sekta ya uboreshaji wa miundo-mbinu  ya elimu na mazingira wa kata hiyo, Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye traki suti ya blue) akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Muindo-mbinu ya Elimu katika  Kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam Machi 17,2012. Pichani ( kulia) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Slaa, Katika matembezi hayo zilipatikana fedha na ahadi zaidi ya shilingi 18 milioni -.,ambapo Taasisi ya WAMA wamechangia milioni mbili (2m/-), na Wazziri wa Nishati na Madini pamoja na wadau wake wamechangia shilingi milioni10 (milioni kumi),(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

Mama Salma akihutubia 

Mama Salama akiwa katika picha ya pamoja

Mama Salma akisalimiana na mbunge wa zamani jimbo la Ilala mama Martha Weja 

Wakazi wa kipawa wakimsikiliza Mama Salma
 Wanafunzi wakimsikilia Mama Salama kikwete
 Bendi ya Magereza ikiongoza maandamano
Mama Salma akipokea mchango kutoka kwa Mwanafunzi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.