Mkurugenzi Mkuu wa Shirikala Habari la Zanzibar (ZBC)akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala katika Mkutano na Waandishi wa Habari ulioitishwa na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillahi Jihad huko katika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiuliza maswali katika mkutano wa Kamati ya Wazazi kuhusiana na tukio zima la kufutiwa matokeo kwa Wanafunzi wa kidato cha Nne Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi Ali Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na suala zima la kufutiwa matokeo kwa Wanafunzi wa kidato cha nne Zanzibar kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa D.C.P.M Najma M.Giga na kushoto yake ni Katibu wa kamati ya Wazazi Saleh Mohamed Saleh
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillahi Jihad Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na maendeleo na Malengo ya wizara yake huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hio Ali Mwinyikai na kushoto ni Naibu katibu Mkuu Issa Mlingoti.Picha na Yussuf Simai-Maelezo-Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA