MKUTANO WA WADAU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) MWANZA WAFANA


1. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Mbigiro akifungua mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi kwa wadau.

Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ntunkamazina akisisitiza jambo kwa wadau wa Mfuko huo.

Mjumbe wa Bodi ya NHIF, akijibu maswali ya wadau.

Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF wakiteta jambo.

Wadau wa NHIF na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko Eugen Mikongoti.

Mwanachama wa NHIF akitoa ushuhuda kwa wadau wa Mfuko huo namna Mfuko ulivyomsaidia kwa matibabu ya wategemezi wake.

Mkurugenzi wa Uendeshaji akiwa na Mkurugenzi wa Takwimu na Utafiti, Michael Mhando wakiwajibika kabla ya kuanza mkutano.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.