MKUU WA WILAYA YA LIWALE AFARIKI GHAFLA

Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Victor Paul Chiwile (pichani) amefariki ghafla jana katika Hoteli ya Vision mjini Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila amesema leo kuwa mwili wa marehemu Chiwile utapelekwa katika Kanisa la Anglikana Lindi ili wananchi wapate wasaa wa kumuaga kabla ya kusafirishwa kesho kwenda kwao Kibaha kwa mazishi. Sababu za kifo chake mpaka sasa bado hakijajulikana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*