MPANGO MKAKATI WA HUDUMA ZA MACHO WAZINDULIWA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda, akifurahia wakati alipokuwa akizindua Mpango Mkakati wa Huduma za Macho, ulioanzia 2011 hadi 2016, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam . Wa pili kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Regina Kikuli na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donan Mmbando.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda (kushoto), akimkabidhi kitabu cha Mpango Mkakati wa Huduma za Macho, Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donan Mmbando, mara baada ya kuzindua Mpango huo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda (kulia), akiwa pamoja na wadau wa Sekta ya Afya, wakikionesha kitabu cha Mpango Mkakati wa Huduma za Macho, wakati alipokuwa akizindua Mpango huo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Kauli mbiu ikiwa ni 'Usiache Glaukoma ilete giza kwenye maisha yako. Wa pili kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Regina Kikuli na watatu ni Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donan Mmbando. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*