OFISA UPELELEZI WA POLISI AIBUKA NA MIL. 10 ZA M PESA

 Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Chiku Saleh (kushoto) akishuhudia kuona namba ya mshindi wa M PESA  katika Droo iliyofanyika, leo katika M,akao Makuu ya Kampuni ya Simu ya Vodacom, Dar es Salaam.
Ofisa wa Huduna za Ziada wa Vodacom, Patrick Makungu akichezesha Droo ya kumpata mshindi wa M PESA, Dar es Salaam. ambapo Ofisa Upelelezi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe ameibuka kidedea na atazawadiwa sh. mil. 10

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU