OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU SENSA 2012

Ofisa wa Shirika la Maendeleo Japan (JICA), Minako Yamamoto (kulia), akijadiliana jambo na Ofisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Irenius Ruyobya huku akiwa amejifunga kitambaa kuziba mafua aliyonayo asiambukize watu wengine, jana wakati wa mkutano wa kukusanya maoni kwa wadau juu ya sensa inayotarajiwa kufanyika nchini Agosti, mwaka huu. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo
Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Albina Chuwa (kartikati) akijadiliana jambo na Kamishna wa Sensa, Amina Said (kushoto) pamoja na Mshauri wa Matokeo ya Takwimu, wa Taasisi ya DFID, Phillip Cockerill wakati wa mkutano huo. PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*