PINDA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI YA KOREA LOGODI NA KAMPUNI YA MAFUTA TOKA UJERUMANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Rais wa Kampuni ya utafiti wa mafuta ya Europe and Africa Schlumberger Seaco Inc ya Ujerumani, Bw. Sherif Foda kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Serikali za Mitaa cha Korea (Local Government Development Institute - LOGODI), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012. Kushoto ni Balozi wa Korea ya nchini, Young hoon Kim na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanry. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI