PINDA ALONGA NA WANAHABARI KUWAOMBA MADAKTARI WAACHE KUANZA MGOMO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu tishio la mgomo wa madaktari ambao walidai utaanza kesho ambapo aliwataka kuwa wazalendo kwa kuusitisha ili kuepusha vifo vya watanzania vitakavyosababishwa na mgomo huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*