RAIS FIFA TAABAAN, AMELAZWA KWAO

RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Joao Havelange bado yuko hospitali nchini Brazil akisumbuliwa na maradhi yaliyosababisha virusi fulani kwenye kifundo chake cha mguu wa kulia.
Hospitali ya Samaritano imesema jana, babu huyo mwenye umri wa miaka 95, Havelange anapumua bila msaada wa mashine, lakini hali yake bado ipo chini ya uangalizi wa kina.
Havelange alilazwa Jumapili, akisumbuliwa na maradhi ya kudhoofu viungo. Bao haijawekwa wazi kama maradhi hayo yamesambaa.
Havelange aliiongoza FIFA kuanzia mwaka 1974 hadi 1998, alipomuachia Seppe Blatter anayeendelea hadi sasa.
Alistaafu kwenye Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki mwaka jana, kwa sababu za kiafya. Chanzo;Bin Zubeiry Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.