RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFANYA UTEUZI
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425 |
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.
Kabla ya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu.
Uteuzi huu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
14 Machi, 2012
Comments