RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA BIASHARA WA CHINA IKULU LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na wengine ni ujumbe wa Mh Jonzhao.PICHA/IKULU

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao  na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Mawaziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo, Uchukuzi Dk. Omar Nundu na Nishati na Madini Mh William Ngeleja walihudhuria mazungumzo hayo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.