SEMINA YA MAWAKALA WATAKAOANDAA MASHINDANO YA REDDS MISS TANZANIA 2012.

Meneja wa Kinywaji cha Redd's,akizungumza wakatiwa uzinduzi rasmi wa nembo ya Redd's Miss Tanzania 2012 jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Na Michael Machellah
Semina ya Mawakala watakao andaa mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2012, itafanyika tarehe 29 na 30 Machi 2012 katika Hotel ya Giraffe iliyopo eneo la Kunduchi jijini D’salaam.
Semina hii itawahusu Mawakala wa Mikoa, Kanda na Elimu ya Juu tu.
Baada ya Semina hii Mawakala wa Mikoa wataendesha semina kwa Mawakala wa Wilaya katika Mikoa husika..
Hii itakuwa semina elekezi ambpo pamoja na mambo mengine Mawakala watakumbushwa Kanuni, Sheria na Taratibu zinazoendesha mashindano ya Miss Tanzania.
Semina pia itajadili changamoto mbalimbali za shughuli za Miss Tanzania na pia kuweka mikakati ya kupata washiriki wenye sifa na kujifunza masuala ya Udhamini.
Mashindanbo ya Redds Miss Tanzania kwa mwaka huu yanadhaminiwa na kampuni ya TBL Kupitia kinywaji chake cha Redds Original na yanafahamika kwa jina la Redds Miss Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA