SHEREHE YA WANAWAKE YAFANA SERENA DAR ES SALAAM 

Mgeni rasmi wa Sherehe ya Wanawake Ummy Mwalim ambaye ni Naibu Waziri wa Wanawake Jinsia na Watoto kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Arusha Catherine Magige, kushoto, wakati wa Sherehe hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, inayotarajiwa kufanyika Machi 8,2012 duniani kote, aliyesimama nyuma katika picha ni Shamimu Mwasha wandaaji wa sherehe hiyo na a mwendeshaji wa blog ya http://8020fashions.blogspot.com/
Mbunifu Farha akipita na kivazi jukwaani
Sinta naye hakuwa nyuma katika kuonyesha mavazi
Mcheki dada huyi na vazi lake la khanga.
Asia Idarous akiwana mbunifu anayetumia nembo a EVE akionyesha vazili lililobuniwa na mbunifu huyo.
Ankal akipozi kwa picha kushoto ni Missie Popullar na kulia ni Dokii.
Shamimu Mwasha akiwa na marafiki zake katika sherehe hiyo ya wanawake.
Shamimu Mwasha katikati kulia ni Mwamvita Makamba Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania na Mwamvua Mlangwa Meneja wa mradi wa Mwei Vodacom Tanzania.
Huku chini ni picha za matukio mbalimbali kjwa wale waliohudhuria katika sherehe hiyo.
Huyu anti inaelekea ana aleji na Camera ndiyo maana anaziba sura.Kwa hisani ya Full Shangwe blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.