SHINDANO LA WANAHABARI KUONJA RADHA YA BIA ZA TBL MWANZA

Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Business Times Ltd, Mwanza Jovin Mihambi akikabidhiwa zawadi ya ushindi wa pili na Meneja wa kiwanda cha bia (TBL ) Mwanza Richomnd Robert, katika shindano la kuonja na kutambua radha ya bia.

Waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza, wakishindana kuonja na kutambua radha ya bia mwishponi mwa wiki katika Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha Mwanza. Kutoka kulia ni  Emmanuel Chacha wa ITV/ Redio One , Hellen Kabambo wa gazeti la Changamoto.

George Ramadhan (Nipashe) akionja radha bia katika shindano la kuonja bia ambo liliandaliwa na TBL na kushirikisha zaidi ya waandishi wa habari 18jijini Mwanza.Wa kwanza kushoto ni Stewart Duguda mpiga picha wa ITV, Huussei Mtanda , mpiga picha wa Chanel Ten na wa pili kulia ni Jovin Mihambi.
Mshindi wa tatu wa shindano la kuonja na kutambua radha ya bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambalo liliwashirikisha baadhi waandishi wa habari  Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Chacha  (kulia) wa ITV na Redio One, akipokea zawadi yake kwa furaha kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha bia, TBL, Mwanza, Richmond Robert mwishoni mwa wiki.
 050732 Mshindi wa tatu wa shindano la kuonja na kutambua radha ya bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambalo liliwashirikisha baadhi waandishi wa habari  Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Chacha  (kulia) wa ITV na Redio One, akipokea zawadi yake kwa furaha kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha bia, TBL, Mwanza, Richmond Robert mwishoni mwa wiki.
 
Waandishi walioshinda shindano la kuonja na kutambua radha ya bia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao. Kutoka kushoto ni Meneja wa kiwanda cha Bia (TBL) Mwanza, Richomd Robert,, Jovin Mihambi wa Business Times, Jacquline Wanna wa gazeti la Kasi Mpya amnbaye alishika nafasi ya kwanza sawa na Henry Kavirondo , Emmanuel Chacha wa ITV na Redio One (katikatia), mshindi wa kwanza Henry Kavirondo wa Chanel Ten na  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Editha Mushi.

Picha ya cini


Waandishi wa habari wakimsikiliza Afisa Ubora wa Bia( TBL ) Jeremiah Kmammbi kuhusu bia inavyohifadhiwa .Waandishi walitembelea kiwanda hicho cha bia mwanza kabla ya kushiriki shindano la kuonja bia na kutambua radha ya aina ya bia.




  Mshindi wa kwanza wa shindano la kuonja na kutambua radha ya bia, Jaquline Wanna akipokea zawadi ya ushindi wake kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha Bia Mwanza, Richmond Robert.Shindanbo hilo lilindaliwa na kampuni ya Bia Tanzania ( TBL) kwa lengo la kufahamiana na kujenga mahusiano na waandishi wa vyombo mbalimbali nchini.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.