TBL YAWAZAWADIA MAWAKALA WAO BORA

Meneja Usimamizi wa Kitengo cha Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Aloyce Qande (kushoto), akimkabidhi tuzo mshindi wa tatu wa uuzaji bora wa vinywaji vya kampuni hiyo Kanda ya Kusini,Robinson Matemba wa Turiani. Morogoro.katika hafla ya kuwazawadia mawakala bora iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.Wa pili kushoto ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokela na Reginald Mosha ambaye ni Meneja Huduma za Biashara wa TBL.

Meneja Usimamizi wa Kitengo cha Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Aloyce Qande (kushoto), akimkabidhi tuzo mshindi wa pili wa uuzaji bora wa vinywaji vya kampuni hiyo Kanda ya Kusini, Mkurugenzi wa Wazo Road Haulege ya Tegeta, Valency Msacky katika hafla ya kuwazawadia mawakala bora iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.Wa pili kushoto ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokela na Reginald Mosha ambaye ni Meneja Huduma za Biashara wa TBL.
Meneja Usimamizi wa Kitengo cha Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Aloyce Qande (kushoto), akimkabidhi tuzo mshindi wa kwanza wa uuzaji bora wa vinywaji vya kampuni hiyo Kanda ya Kusini,  Mkurugenzi wa Massawe Grocery ya Kibaha, Jacob Massawe, katika hafla ya kuwazawadia mawakala bora iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
Mawakala wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), walioshinda kwa kuwa wauzaji bora wa vinywaji vya kampuni hiyo kwa Kanda ya Kusini, wakinyanyua juu tuzo walizozawadiwa katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kutoka kulia ni mshindi wa kwanza,Mkurugenzi wa Massawe Grocery ya Kibaha, Jacob Massawe, Mshindi wa pili, Mkurugenzi wa Wazo Road Haulege ya Tegeta, Valency Msacky na Robinson Matemba wa Turiani. Morogoro.
Baadhi ya mawakala wa TBL, na mameneja mauzo wa kampuni hiyo wakipata mlo wa usiku wakati wa hafla hiyo.


Baadhi ya mawakala na mamemneja mauzo wa TBL wakipakua msosi.

Baadhi ya mawakala wa TBL wakibadilishana mawazo na mameneja mauzo wa kampuni hiyo.

Mameneja Mauzo wa TBL, Davis Deogratus (kulia) na Peter Mweta wakibadilishana mawazo.
 Washindi wakiwa na baadhi ya viongozi wa TBL baa da ya kukabidhiwa zawadi
                                                                Sasa ni wakati wa msosi

                                                                    Du! hii supu tamu?!!!
                                                          Sasa ni wakati wa kujipakulia msosi
                                                        Sasa ni wakati wa kupata vinywaji


Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL, Kanda ya Kusini, James Bokela (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya mawala na mameneja mauzo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU