TBL YSAIDIA MAGODORO 200,VYANDARUA 200 HOSPITALI ZA KILEMA, HAI MKOANI KILIMANJARO

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Sheria  wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo  (kushoto) akimkabidhi godoro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,  Leonidas Gama ikiwa ni sehemu ya msaada wa magodoro 200 na vyandarua 200 vyenye thamani ya sh. mil. 15 vitakavyogawiwa kwa Hospitali za Kilema na Hai mkoani humo. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Moshi.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (wa tatu kushoto) akikabidhi moja kati ya magodoro 100 na vyandarua 100 kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kilema iliyopo Moshi vijijini, Dk. Wonanji Timoth  msaada uliotolewa kwa hospitali hiyo na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki.Tbl ilitoa pia msaada kama huo kwa Hospitali ya Wilaya ya Hai. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steven Kilindo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akisoma hotuba ya kushukuru Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa msaada wa mgodoro 200 na vyandarua 200 vyenye thamani ya Sh. mil. 15 katika hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki, mjini Moshi. Hospitali ya Kilema itapata msaada wa magodoro 100 na vyandarua 100 na Hospitali ya Wilaya ya Hai itapata magodoro 100 na vyandaruwa 100.

Baadhi ya wauguzi na wafanyakazi wa Hospitali hiyo, wakishuhudia makabidhiano hayo.

Baadhi ya wauguzi na wafanyakazi wa Hospitali hiyo, wakishuhudia makabidhiano hayo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI