TIGO YATOA MSAADA WA BAISKELI 26 KWA WATU WENYE ULEMAVU DAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi, Ester Mkwizu (kushoto) akimkabidhi Peter Gwitame msaada wa baiskeli zilizotolewa msaada na Kampuni ya simu ya Tigo, kwa watu wenye ulemavu wanachama wa Taasisi ya Kusimamia Huduma na Maendeleo kwa Watu Wenye Ulemavu (DEBD). Tigo imetoa baiskeli 26 zitakazowasaidia katika biashara ya kuuza vocha na Tigo Pesa. Kulia ni Meneja wa Promosheni na Matukio wa Tigo, Edward Shila.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi, Ester Mkwizu (kushoto) akimkabidhi  Akong'o Olwali msaada wa baiskeli zilizotolewa msaada na Kampuni ya simu ya Tigo, kwa watu wenye ulemavu wanachama wa Taasisi ya Kusimamia Huduma na Maendeleo kwa Watu Wenye Ulemavu (DEBD). Tigo imetoa baiskeli 26 zitakazowasaidia katika biashara ya kuuza vocha na Tigo Pesa.

                                 Akimkabidhi Happy Lwazadi Mkazi wa Keko Dar es Salaam
Ester Mkwizu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa BEBD, TRnity Promotion na watu wenye ulemavu waliokabidhiwa msaada huo wa baiskeli. Hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Shule ya Watu wasiosikia Buguruni, Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.