TOTO AFRICA YA MWANZA YAIBANA SIMBA 

Mchezaji wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini matokeo yamekuwa 1-1. Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri.
Wachezaji wa Simba ta Toto Africa ya Mwanza wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.
Kikosi cha timu ya Toto Africa ya Mwanza kikiwa katika picha ya pamoja.
Timu zikiingia uwanjani tayari kwa kukipiga katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.Chanzo; Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU