UZINDUZI WA KAMPENI: CHADEMA YAANZA ARUMERU LEO

Mbunge wa Arusha Godbless Lema akiwa amebebwa juu juu mara baada ya kuwasili hapo Meru Wilayani Arumeru ambapo mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni wa chama cha Deomkrasia na maendeleo CHADEMA unafanyika kuanzia muda huu katika viwanja vya Shule ya Msingi Leganza, Mwandishi wa FULLSHANGWE ambaye yuko katika eneo la tukio, anasema "Tayari helkopta zilizowachukua viongozi kadhaa wa chama hicho zimeanza kutua katika viwanja hivyo tayari kwa uzinduzi na mkutano huo utarushwa moja kwa moja na televisheni kadhaa za hapa nyumbani.
Umati wa watu ukiwa unaelekea eneo la mkutano katika viwanja vya shule ya Msingi Leganza.
Waendesha pikipiki hawako nyuma kama wanavyoonekana katika picha hii. (PICHA KWA HISANI YA MJENGWABLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.