WAETHIOPIA 98 WAFIKISHWA MAHAKAMANI MOROGORO KUJIBU MASHITAKA YA KUINGIA NCHINI ISIVYO HALALI

Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakitaremka kwenye gari la polisi katika Mahakama ya Hakim Mkazi Morogoro, kujibu mashitaka ya kuingia nchini isivyo halali. (NA BLOGU YA JUMA MTANDA)

Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro jana, wakisubiri kusomewa mashitaka likiwemo la kuingia nchini bila kibali walipokamatwa katika Kijiji cha Melela, Wilaya ya Mvomero wakati wakisafiri kuelekea Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuvuka mpaka.Kesi hiyo iliahirishwa kwa kukosa mkalimani. (NA BLOGU YA JUMA MTANDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.