WAMACHINGA JIJINI MBEYA WAZIDI KUJIMILIKISHA MAENEO KATIKATI YA JIJI HUKU JIJI LIKIWA LINAWATAZAMA TU KAMA SHERIA HAKUNA

Ofisi ya TRA mkoa wa Mbeya uzio wake ukiwa umepambwa na mataulo ya wamachinga hao huku mamlaka husika zikiwatizama tu wamachinga hao bila ya kuwachukulia hatua yeyote
Barabara ya kuingia katikati ya jiji la mbeya pembeni ya jengo la TRA mkoa wa Mbeya wamachinga wapo huru kabisa huku waenda kwa miguu wakipita barabara ya magari kana kwamba hawana njia yao ya kupita mambo hayo ya jiji la mbeya sijui nani anaeusika kwa hili
Nani hatua chache sana kufika katika ofisi kuu za halmashauri ya jiji la mbeya na ni jia kuu ya kupita viongozi mbalimbali wa chama na serikali katika barabara hii je haya ni mapambo?
Ofisi za TRA mkoa wa Mbeya zikiwa zimezungukwa na badhaa mbalimbali za wamachinga hao
Cha ajabu mgambo wa jiji wanahangaika na vijana waosha magari mjini huku wamachinga wakiwaacha wakichafua mji kwa kupanga vitu vyao kiholela tena katikati ya mji na ofisi kuu za serikali na taasisi kubwa za kibenki. Chanzo Mbeya Yetu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA