WANANCHI WAWAFANYIA VURUGU POLISI WAKATI WAKIENDA KUUFANYIA UCHUNGUZI MWILI WA MWANAFUNZI ALIYEUWAWA KWA KUTHUMUMIWA KUIBA SIMU WILAYANI CHUNYA

Barabara ya kwenda Tabora maeneo ya lupa tingatinga chunya barabara hiyo ikiwa imefungwa kwa kuchoma matairi ya magari kuto ruhusu polisi kupita kwenda kuchukua mwili wa mwanafuzi aliyeuwawa kwa kutuhumiwa kuiba simu
Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu
Wananchi wakiwatupia mawe polisi

Mji mdogo wa chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi. Chanzo;Mbeya Yetu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI