WARSHA YA WAHARIRI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI YA WATUMIAJI TICRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akielezea kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo, wakati wa Warsha ya siku moja ya wahariri ya maadhimisho ya Siku ya Haki ya Watumiaji, Dar es Salaam leo.
Ofisa Mkuu, Masuala ya Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Isack Mruma akielezea kuhusu haki ya mteja kulalamika anapopata huduma isiyodhisha, wakati wa Warsha ya simu moja ya Wahariri ya maadhimisho ya Siku ya Haki ya Watumiaji iliyoandaliwa na TICRA, Dar es Salaam
                                          Sehemu ya wahariri wakiwa katika warsha hiyo


Ofisa Mwandamizi wa Watumiaji wa TICRA, Thadayo Ringo akifafanunua jambo katika warsha hiyo
Naibu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Jacquline Liana, akifurahia kupata zawadi ya vocha baada ya kufanikiwa kujibu mawasli  ya uelewa wa kazi za TCRA. Kushoto ni Isack Mruma Ofisa Mkuu wa Masuala ya Watumiaji TCRA.
Profesa John Nkoma, akimzawadia simu Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania, Elizabeth  Mjata aliyefanikiwa kujibu swali ya uelewa wa shughuli za TCRA.
Profesa Nkoma, akimpatia zawadi , Marycelina Masha wa Daily News baada ya kufanikiwa kujibu swali
Mhariri wa Mlimani TV, Amini Mgheni akizawadiwa naye simu
Samweli Thomas wa gazeti la Jibu la Maisha, akipatiwa zawadi ya simu
Kaimu Mhariri Mtendaji wa New Habari, Balinagwe Mwambungu akizawadiwa simu na Profesa Nkoma baada ya kufanikiwa kujibu swali juu ya kazi za TCRA. Mwambungu alikuwa darasa moja na Nkoma  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mhariri Mtendaji wa gazeti la Majira, Imma Mbuguni naye akizawadiwa simu

Profesa Nkoma akionesha kitabu maalumu kinachoweza kumsaidia asiyeona kuatambua huduma mbalimbali za mawasiliano kwa kutumia maandishi ya nundu 'Braille'. Kitabu hichi kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho jijini Dar es Salaam
Mpigapicha Mkuu wa magazeti ya The Guardian na Nipashe, Seleman Mpochi akiuliza swali wakati wa warsha hiyo.
Mhariri Mkuu wa gazeti la Spoti Starehe, Masoud Sanani, akitoa neno la shukurani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA