WATEJA 100 WA VODACOM WAJISHINDIA Sh. 50,000 KILA MMOJA KATIKA DROO YA SIKU YA PROMOSHENI YA M-PESA

Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa Vodacom Bw. Matina Nkurlu akionesha nambari za washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh. 50,000 kila mmoja. Wanaoshuhudia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi Reenu Verma na Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid.Droo hiyo imechezeshwa leo jijini Dar es salaa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*