YANGA SI RIZKI MISRI, YATANDIKWA 1-0 NA ZAMALEK

Timu ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo  ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1 kwenye uwanja wa |Taifa kwa matokeo ya leo ina maana Zamalek imeifunga Yanga magoli 3-1 na kuitupa nje ya mashindano hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU