Beatrice; Mtanzania aliyeshinda Medali ya Shaba ya Upishi Dernmark katika masomo


Beatrice Stefano Mpangala, 23, mtanzania aliyekuwa akisomea masomo ya Upishi katika chuo cha Elimu ya Juu cha katika Aabenraa nchini Denmark amefaulu vyema masomo yake na kutunukiwa Medali ya Shaba
 Beatrice ambaye ni Binti wa Sophia Mpangala wa Kibaha Mail Moja mkoani Pwani

Beatrice ni chef mwanafunzi katika Hoteli ya  Vojens ya nchini humo na alimaliza mazoezi yake kwa vitendo Hotelini hapo na kutunukiwa Medali hiyo kwa kufanya vyema katika masomo yake.

Kwa hiyo mimi niko tayari kwa changamoto mpya nitakazo kabiliana nazo katika miji mikubwa”, anasema Beatrice, ambaye ubunifu wake katika mapichi umempa tuzo hiyo.

Nae Niels Laursen, ambaye ni Ofisa katika katika Hoteli Vojens alikofanya mafunzo hayo anasema amejisikia fahari sana kwa mtanzania huyo mwenye vipaji lukuki vya upishi na anapasha kuwa ni mara ya kwanza kwa mwanafunzi aliyepita hapo kufanya vyema na kutwaa medali ya Shaba.
 Beatrice akiwa na Niels Laursen
Beatrice Stefano Mpangala, 23 år, bestod svendeprøven som kok på Fagskolen i Aabenraa. Beatrice fik bronzemedalje. Beatrice er kokkeelev på Hotel Vojens. Beatrice afslutter lærlingetiden den 30. november på Hotel Vojens. Kwa hisani ya Fether Kidevu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*