BIA YA KILIMANJARO YADHAMINI TAIFA STARS KWA SH. BILIONI 23

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodeger Tenga (kushoto), akibadilishana hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche, Dar es Salaam jana usiku, baada ya kusaini mkataba ambapo TBL itaidhamini timu ya Taifa, 'Taifa Stars' kwa sh. bilioni 23 kwa miaka mitano.
 Rais Tenga wa TFF (kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Robin  wakitiliana saini mktaba huo jana usiku katika Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam
 Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Leonald Thadeo (kushoto) akimshukuru Robin wa TBL wakati wa hafala hiyo. Katikati ni Rais wa TFF, Leodegar Tenga
                              Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin, akielezea juu ya udhamini huo
                                                 Thadeo akitoa shukrani kwa niaba ya Serikali
 Meneja Masoko wa TBL, Kanda ya Kusini, James Bokella (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah wakati wa hafal hiyo.
                                                             Wakifurahia jambo
 Meneja wa Uhusiano wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa TBL, Emma Oriyo (kulia), na rafiki yake wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe  akipiga mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa udhamini wa bia hiyo kwa timu ya Taifa ya soka, Tgaifa Stars.
 Rais wa TFF, Tenga akiangalia wasanii wa kikundi cha Wanne Stars wakifanya vitu vyao wakati wa hafla hiyo
 Wasanii wa kikundi cha Wanne Stars, wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa udhamini wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager kwa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), Dar es Salaam jana. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA