Chemi & Cotex Industries Ltd Managing Director L. N. Rathi addressing the launch of the whitedent School Squiz 2012 to the Media and the invited students from different schools in Dar es Salaam recently in Dar es Salaam whereby the Industry have conducted education programmes on Oral Hygiene in over 1000 schools in Tanzania.
ITV/Radio One Senior Marketing Administrator Ernest Dilli addressing his vote of thanks the Management of Chemi & Cotex Ind. Ltd during the launch of whitedent school Squiz 2012 the program which will be aired on ITV/Radio One for nine episodes.
Benchmark Managing Director Ms. Rita Paulsen speaking to the Media (not in picture) during the launch of Whitedent School Squiz 2012 at the Alpha high school in Dar es Salaam.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing Director L. N. Rathi (left) signing theMemorandum of Understanding (MOU) with the ITV/Radio One Senior Marketing Administrator Ernest Dilli(right) after the launch of Whitedent school Squiz 2012 program recently at the Alpha High School in Dar es Salaam, witnessing in the middle is the Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing Director L. N. Rathi (left) signing the Memorandum of Understanding (MOU) with the ITV/Radio One Senior Marketing Administrator Ernest Dilli(right) after the launch of Whitedent school Squiz 2012 program recently at the Alpha High School in Dar es Salaam, witnessing in the middle is the Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing Director L. N. Rathi (second right) in a group photo after the launch of Whitedent School Squiz 2012 with Mr. Gregor forbes Representative of Board of directors – Chemi & cotex ind Ltd(first right),and Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen (centre) followed by the Ag. Director of Primary school education Mr. Jumanne Shauri and Chemi & Cotex Ltd Zonal Regional Category ManagerMs. Tamika Chikawe.
Representative of Board of directors – Chemi& Cotex Ind Ltd Mr. Gregor Forbes playing with students after the launch of Whitedent school squiz 2012 at the Alpha High School recently in Dar es Salaam.
------

Dar es Salaam, 2/05/2012:
Chemi & Cotex Ltd, watengenezaji wa ya dawa za meno ya Whitedent na bidhaa nyingine za kusafisha kinywa wanayo furaha kutangazauzinduziwachemsha bongoyawhitedentmashulenikwamwaka 2012.

Chemsha bongo ya mwisho ya whitedent mashuleni ilifanyika mwaka 2008. Tumeanzisha zoezi hili baada ya kipindi cha miaka mitatu. Toleo la kwanza la quiz mashulenililifunguliwakwashulezotezamsingiMkoawa Dar es salaam.

Chemsha bongo ya mwisho ya whitedent mashuleni ilifanyika mwaka 2008. Tumeanzisha zoezi hili baada ya kipindi cha miaka mitatu. Toleo la kwanza la quiz mashulenililifunguliwakwashulezotezamsingiMkoawa Dar es salaam. chemsha bongo hii mashuleni kwa mwaka huu itafanyika mikoa yote ambayo ni Arusha, Dar es Salaam, Mbeya and Mwanza kwa ushiriki wa shule za msingi. Jumla ya maswali 4000 yametayarishwa kwa ajil ya jaribio kamili. Timuyawalimuwenyetaalumaimepewajukumu la kuandaamaswalihayakwaajiliyamasomotofautikutokananamitaala ya elimu ya msingi.

Muundo wa chemsha bongo uliwasilishwa Wizara ya Elimu nabaada ya idhinikutoka kwao, jumla ya shule240zilialikwakulingana nabidii ya shulekatikamitinahi ya mwisho ya Shuleza Msingimwaka jana; kuwaomba kuchagua timu ya watu wanne kushiriki katika chemsha bongo.

Jumla yashule162 zimethibitisha ushirikiwaona kupelekatimu zao. Shindano linahusisha wanafunzikiwangowa darasa la 6 wenye umri wa wastani wa miaka12-13, ikiwa ni pamoja nawatachanganya jinsia zote, hivyo wotewawepo katikachangamoto.

Hatua ya kwanzailikuwa ni mfumo uliochukua nafasi katika kila mikoa minne. Kwa kila mkoa shule moja iliyoalikwa ilielekezwa kama kituo cha mkoa ambapo mchuano wa awaliutachukua nafasi kwa mkoa huo. Lilikua ni tukio la siku moja kwa shule tano kumalizika kw wakati mmoja, kwa kuulizwamaswaliya msingijuu ya masomombalimbaliikiwa ni pamoja naLugha, Hisabati, Sayansi na masomoya Jamii.Mchakato mzimailikuwauwazikwashule zotezinazoshirikizitaelezwakuhusu mchakatomapema.

Shule Sitazitakazoshindakutokakila mkoazitaingia katika robo fainali itakayofanyika Dar es Salaam. Katika hatua yarobofainali, Shule 24zimegawanywa katika makundi6ya shule4kila moja.Kambiulifanyikakwa misingi yakupataalamakatikahatua ya kwanza.Washindi wakila kundi, yaanijumla yatimu6ataelekeanusu fainali. Makundi yalifanyika kutokana na alama zilizopatikana katika hatua ya kwanza. Washindi wa kila kundi, mfano jumla ya timu sita zitaendelea kwenye nusu fainali.
Washindi sita wa nusu fainali watagawanywa katika makundi mawili yenye timu tatu kila kundi mfano timu mbili zinazoendelea kwenye fainali za mwisho, wakati mshindi wa jumla atakapopatikana. Vipindi vya chemsha bongo tisa vikihusishwa na robo fainali sita, nusu fainali mbili na fainali ya mwisho vitarekodiwa moja kwa moja na kuonyeshwa katika Runinga.

Ilikuingiliana na idadi kubwa ya shule pia tunaleta kampeni ya ujumbe mfupi wa maandishi ambayomtangazajianaulizaswalimaalum (kwa ajili ya shule tu)wakati wa programu ya chemsha bongo shuleni kwenye TV naambayo ikitangazwa pia katikarediokushauri kwawatu jinsi yakujibukwa njia yaujumbe mfupi wa maneno (SMS).Kampeniitakuwaikitangazwakatika TVkuwaambiawatukusikilizavipindivyaRedionakusaidiashulewalizochaguakushindazawadiyatangi la kuhifadhiamajilenyeujazowalita3000pamojanazawadinyinginezenyethamaniyashilingimilioni 30 zikiwemo Computer namadaftari.Watu watajibu kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno kwa nafasi ya kushinda tuzoyakila wiki.

Mfumo huu utachagua wakuchaguawashindi3 wakila wiki.Kwa kila mshindi mmoja, kunashuleambayoitashinda tuzo(mshindiatachagua shule yake) shindano hili litaendelea kwa wiki tisa kulingana na jinsi linavyotolewa na TVna redio.

Tangu mwaka 2003 Chemi & Cotex Ltd iliendesha programu za elimu juu ya Usafi ya kinywa katika shule zaidi ya 1,000 katika Tanzania. Uchunguzi wa meno bure, sampuli mashuleni ni baadhi ya shughuli zillizofanywa na kampuni kuelimisha na kujenga uelewajuuyausafiwakinywa.Programuyachemsha bongo yaWhitedentmashuleninizaidiya juhudi hizi.Licha ya kuwa inarushwa katika kituo cha ITV kwa sehemu tisa, pia itakuaik itangazwa naRedio One ilikuwafikia zaidi watu.

-Mwisho-

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU