HARUNA MOSHI AKIWA HUKO LEMBA KINSHASA KATIKA MAZISHI YA PATRICK MAFISANGO, WAOMBOLEZAJI WAFURIKA

Haruna Moshi Boban wa pili kutoka kushoto na Mussa Hassan Mgosi wa kwanza kushoto wakizungumza na wenyeji wao wakati wa mazishi ya aliyekuwa mchezji wa timu ya Simba marehemu Patrick Mutesa Mafisango leo huko Lemba, Kinshasa DRC Congo Fullshangwe imeshuhudia tukio hilo na itakuwa ikikumuvuzishia kadiri matukio yatakavyokuwa yakiingia..
Waombolezaji wamejitokeza kwa wingi sana katika mazishi ya Mafisango huko Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa.Kwa hisani ya Full Shangwe Blog
Waombolezaji wakiwa katika mstari tayari kwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Patrick Mafisango.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA