Mfanyakazi wa Citi Bank, Irene Francis akisaidiwa na mtoto kukata keki wakati wa muadhimiasha siku ya yake ya kuzaliwa jana wakati wa wakati wa tamasha la kufunga ligi kuu ya England na kuzindua kampeni ya kumsaka shabiki bora wa mwaka atakayewakilisha nchi kushangilia mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) yanayotarajiwa kufanyika Afrika Kusini mwakani. Tamasha hilo lililoandaliwa na bia ya Castle Lager lilifanyika ufukwe wa Mbaramwezi, Msasani, Dar es Salaam
Irene akimlisha keki mwanawe |
Irene akimlisha keki mmowa wa watu wake wa karibu |
Irene akiwalisha keki marafiki zake |
Irene (katikati) akicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na Bendi ya Bora Bora |
Bendi ya Bora Bora ikifanya vitu vyake |
Comments