MADIWANI ILEJE WAMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI BI. SYLIVIA SIRIWA

MKURUGENZI MTENDAJI WA ILEJE BI.SIRIWA AKIWAOMBA RADHI MADIWANI KWAMBA HATA RUDIA TENA MAKOSA YA KIUTENDAJI

Pichani Bi Siriwa katikati akiwa ameshika tama baada ya madiwani kumsimamisha kazi) kulia ni Mwenyekiti wa halmashauri ya Ileje Mohamed Mwala) cheki zaidi

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA ILEJE BW. MOHAMED MWALA(mwenye joho jekundu) AKISISITIZA JAMBO KATIKA KIKAO KILICHOKETI KUMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ileje wamemsimamisha kazi Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Sylivia Siriwa kwa madai ya kuhusika na hujuma na ubadhirifu wa mali za halmashauri hiyo.

Hatua hiyo imefuatia tuhuma zilizoelekezwa kwake katika kikao cha baraza la Madiwani kilichoketi kujadili jaribio la wizi wa fedha za halmashauri zilizofanywa na watumishi wanne ambapo Mkurugenzi huyo alishindwa kuwachukulia hatua za kisheria.
Akizungumza katika kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ileje Bw. Mohamed Mwala amesema kuwa uamuzi huo umefikiwa baada ya Baraza kujigeuza kamati ambapo Mkurugenzi alionekana kuhusika na makosa kwa kuwakumbatia watendaji hali ambayo imesababisha kutokuwa na imani naye. Chanzo Mbeya Yetu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA