MAIGE AMKABIDHI WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII BALOZI KAGASHEKI 

Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ezekieli Maige katika  Akiongea na waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi ofisi kwa waziri mpya wa wizara hiyo Mh Balozi Khamis Kagasheki ambaye ni wa kwanza kushoto na Naibu Waziri wake Mhe.Lazaro Nyarandu ambaye ni wa kwanza kulia.katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maliasili na utalii jijini Dar es salaam.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akisisitiza jambo katika hafla hiyo ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo katika wizara ya maliasili na utalii.
Waziri wa maliasili na utalii  Mh; Balozi Khamisi Kagasheki akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo ambapo amesema watendaji wote walioguswa na kashfa mbalimbali katika wizara hiyo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja iwezekanavyo.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA