MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA CHUO KIPYA CHA UFUNDI STADI VETA CHA MKOA WA MANYARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Balozi wa Korea Kusini, Young Hoon Kim, kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha VETA kilichojengwa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa chuo hicho iliyofanyika jana Aprili 30, 2012, mkoani Manyara. Picha na  Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na viongozi wa Chuo cha Veta na viongozi wa Serikali baada ya ufunguzi rasmi wa chuo hicho uliofanyika jana Aprili 30, 2012 mkoani Manyara. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano:- wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Chuo kipya cha VETA, baada ya kufungua rasmi chuo hicho kilichojengwa Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara. Hafla ya ufunguzi wa Chuo hicho ilifanyika jana Aprili 30, 2012, mkoani Manyara. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza maelezo kutoka kwa Mwalimu wa ufundi wa Magari wa Chuo kipya cha VETA cha Mkoani Manyara, Treekta dogo linalotumika kulimia na kupandia Mbegu za mazao, wakati aliokuwa akitembelea na kukagua majengo mapya ya Karakana ya chuo hicho baada ya kukifungua rasmi jana Aprili 30, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.