MICHUANO YA POOL VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR YAANZA LEO,FAINALI KESHO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Pool Tanzania, Amos Kafwinga (kushoto) akifungua michuano hiyo leo. Kulia ni Katibu wa chama cha mchezo huo, Ilala, Mohammed Mwarabu ambaye pia ni refa wa mchezo huo.
Kafwinga akifungua michuano hiyo kwa kucheza Pool
Wadau wa mchezo huo wakiwa ukumbini kushuhudia kitim timu cha mpambano huo
Timu ya Pool ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC wakiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji wa timu ya Chuo cha Royal. Kwa hisani ya Nkoromo Daily Blog
Comments