MISS NYAMAGANA WAENDELEA KUTESA





Shindano la Miss Nyamagana 2012, Litafanyika katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza, tarehe 02/06/2012 ambapo wasanii Linah, Ditto na Hafsa Kazinja watalipamba jukwaa. Mc katika shindano hilo ni msanii maarufu katika tasnia ya uchekeshaji na mzungumzia Mpoki. Jumla ya warembo 20 watapanda jukwaani kumpata Miss Nyamagana 2012, kabla ya shindano la kumpata mrembo wa Mkoa wa Mwanza.
Katika mahojiano yaliyofanyika, warembo wameonekana kuwa na shauku kubwa ya ushindi, wakiaahidi kurudisha taji la Miss Tanzania Mkoani Mwanza. Shndano la Miss Nyamagana 2012 linaandaliwa na Stoppers Entainment ya jijini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA