Mnaombwa kwenda Muhimbili kuutambua mwili huu



Msichana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 hadi 25, aligongwa pamoja na wenzake watano baada ya gari aina ya Toyota Canter, kuacha njia maeneo ya Tegeta na hatimaye kufikishwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), Dar es Salaam, Jumapili Mei 13 na kupelekwa chumba cha wagonjwa mahututi, ambapo jana  saa 5, asubuhi, alifariki dunia.

 Mpaka sasa hawajulikani jamaa zake wala jina lake. Wanaombwa waliopotelewa na ndugu zao wafike Taasisi ya Moi kwa ajili ya kupata maelekezo na kuutambua mwili wa marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Taarifa hii imetolewa na Idara ya Uhusiano Moi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA