MRATIBU WA TAMASHA LA PASAKA ALEX MSAMA AKABIDHI BAISKELI KWA MLEMAVU MOHAMED KOMU LEO

 Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msana akimkabidhi baiskeli maalum memavu Mohamed Komu mkazi wa Buguruni jijini Dar es salaam ili imsaidie katika shughuli zake za kila siku, Alex Msama amesema msaada huo ni matunda ya kiasi cha fedha alichoahidi kusaidia jamii baada ya kufanikishwa kwa tamasha la Pasaka lililofanyika jijini Dar es salaam na mkoani Dodoma na huyu ni mmoja wa walemavu wanaofaidika na tamasha hilo.
 Bw. Alex Msama akimsisitizia jambo Bwana Mohamed Komu mara baada ya kumkabidhi baiskeli hiyo leo jijini Dar es salaam.
Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukabidhi msaada wa baiskeli kwa Bw Mohamed Komu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA