MWILI WA MCHEZAJI WA SIMBA MAREHEMU PATRICK MAFISANGO KUZIKWA LEO (LEMBA)DRC CONGO

 Mwili wa mchezaji wa Simba Marehemu Patrick Mafisango umewasili nchini DRC Congo jana kwa mazishi ambapo leo ndiyo mazishi yanafanyika kama inavyoonekana katika picha ukiwa umewekwa tayari kwa ndugu jamaa na marafiki kuuagwa kabla ya kuuzika nyumbani kwao Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa!.
 Ndugu na jamaa wakiwa katika msiba huo huko nchini DRC Congo
Hiki ndicho kibanda kilichojengwa maalum kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu Patrick Mafisango kabla ya kuzikwa leo hii.Chanzo;Full Shangwe blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA