PATRICK MAFISANGO AZIKWA NYUMBANI KWAO LEMBA NJE KIDODO YA KINSHASA LEO
Waombolezaji wakibeba jeneza la mwili wa Marehemu Patrick Mutesa Mafisango aliyekuwa mchezji wa timu ya Simba wakati wa mazishi ya mchezaji huyo leo huko Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa DRC Congo ambako amepumzishwa katika nyumba ya milele, Mafisango alikuwa ni mchezaji tegemeo wa timu ya Simba kutokana na uwezo wake katika kucheza mpira wakati alipokuwa akiitumikia timu ya Simba.
Fullshangweblog ilishuhudia mazishi hayo na inakumuvuzishia baadhi ya Taswira zilizopatikana wakati wa mazishi hayo
Fullshangweblog ilishuhudia mazishi hayo na inakumuvuzishia baadhi ya Taswira zilizopatikana wakati wa mazishi hayo
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU PATRICK MUTESA MAFISANGO AMEN.
Hii ndiyo numba ya milele ya Marehemu Patrck Mafisango iliyojengwa nyumbani kwao Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya DRC Congo ambamo marehemu amehifadhiwa leo.Kwa hisani ya Full Shangwe Blog
Comments