Rais Kikwete afungua semina ya Viongozi wa CCM Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweete akifungua Semina maalumu kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Zanzibar amabye pia ni makamu wa CCM Zanzibar Amani Abeid Karume,Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mkama na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa 
(Picha na Freddy Maro)
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM wakihudhuria semina maalumu katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.Semina hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
(Picha na Freddy Maro)
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM wakihudhuria semina maalumu katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.Semina hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
 Picha na Frddy Maro
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama kabla ya kufngua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM  mjini Dodoma  may 12, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Washiriki wa Semina ya Wajumbe  wa Halmashauri  Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kuahoto), Kingunge Ngombale -Mwiru (katikati) na Peter Kisumo wakiteta katika semina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma May 12,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.