RAIS KIKWETE KATIKA MDAHALO WA GROAFRICA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa katika mdahalo wa taasis ya kilimo ya GroAfrica kwenye jengo la Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia leo. Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa kwa Afrika. PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA