SEMINA WAKUU WA WILAYA YAANZA DODOMA

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (kushoto) na Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru katika semina ya wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na makatibu tawala wa mikoa kwenye Kituo cha mikutano cha St. Gaspar mjini Dodoma. (PICHA ZOTE  NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale-Mwiru, akitoa mada katika semina ya wakuu wa mikoa na wilaya  na  makatibu tawala wa mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar mjini Dodoma
 Baadhi ya washiriki wa semina ya wakuu wa mikoa na wilaya pamoja  na makatibu tawala wa mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipofungua kikao chao  kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar mjini Dodoma
 Wakuu wa wailaya na makatibu tawala wakiwa makini kusikiliza mada wakati wa semina hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu (aliyelegeza miwani), akiwa miongoni mwa wakuu wa wailaya wanaoshiriki katika semina hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA