SIKU YA WAUGUZI NAMTUMBO,RUVUMA

 Askari polisi wa kituo cha Namtumbo mkoani Ruvuma,wakiongoza zoezi la uwashaji mishumaa kama ishara ya upendo na matumaini kwa wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali, wakati wa sherehe za siku ya wauguzi Duniani ambayo kiwilaya ilifanyika katika viwanja vya hospitali mjini Namtumbo,
 Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya namtumbo Dkt Simon Chacha na Mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya hiyo Mussa Zungiza kulia,wakiwaongoza wageni na watumishi wa idara ya afya kwenda kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali katika hositali ya wilaya hiyo, wakati wa sherehe ya siku ya wauguzi Duniani.

 ,Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Dkt Simon Chacha akizungumza na wauguzi wa hospitali hiuyo wakati wa sherehe ya siku ya wauguzi duniani ambayo kiwilaya ilifanyika mjini Namtumbo,kulia mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya hiyo Mussa Zungiza.

afisa utumishi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambaye jina lake halikufahamika  mara moja akizungumza wakati wa sherehe za siku ya wauguzi wa wilaya hiyo juzi mjini namtumbo,kulia mganga mkuu wa wila Dkt Simon Chacha na kushoto afisa elimu ya msingi Rhoda Mbilinyi, (PICHA ZOTE NA DENNIS CHALE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI