Spika Makinda akutana na Ujumbe Maalum kutoka Bunge la Sudani Kusini Ofisini kwake leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Sudan Kusini ulipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga,  ambaye ndiye aliongoza ujumbe huo, Mhe, Henry Dilah Odwao , Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini, Mhe. Mary atong Bak , Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Habari na Utamaduni, Mhe. Dk. Kuong Dak Wie na Mhe. Prof. George Bureng Nyumbe wote kutoka Bunge la Sudan Kusini.
 
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimuonesha zawadi ya saa ya ukutani yenye picha ya jingo la Bunge  Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga,  wakati ujumbe wa Wabunge kutoka Sudan Kusini wakiongozwa na Spika wao  walipomtembelea Spika Makinda Ofisini kwake Dar es salaam leo
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya saa ya ukutani yenye picha ya jengo la Bunge  Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga,  wakati ujumbe wa Wabunge kutoka Sudan Kusini wakiongozwa na Spika wao  walipomtembelea Spika Makinda Ofisini kwake Dar es salaam leo. Wengine katika Picha na wabunge kutoka Bunge la Sudan waliomtembelea Mhe. Spika leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA