TAMASHA LA TUZO ZA EXEL GRAND MALT LAFANA SUA MOROGORO

 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati na mkurugenzi wa chuo kikuu cha Sokoine Prof  Mzanila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Capten wa Timu ya Infomatic Ally Tambala baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguu kwenye bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt mkoani Morogoro ambapo ilishirikisha pia chuo kikuu cha Mzumbe,Kushoto ni msanii wa Hip hop Joh Makini.

 Msanii Joh Makini (katikati)akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with grandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA  ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoro ambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe

 Consolata Adam (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washind
Msanii Joh Makini akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with grandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA  ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoro ambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA