TBL YAKARABATI VYOO KWA SH. MIL. 18 SHULE YA SEKONDARI BWIRU

Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye hivi sasa ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Said Amanzi (kulia), akikata utepe ikiwa ni ishara kuzindua vyoo vya Shule ya Sekondari Wasichana Bwiru, Mwanza juzi, vilivyokarabatiwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa gharama ya sh. mil.18. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye hivi sasa ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Said Amanzi (kulia), akimshukuru Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo, baada ya kuzindua vyoo vya Shule ya Sekondari Wasichana Bwiru, Mwanza juzi, vilivyokarabatiwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa gharama ya sh. mil.18.
Mkuu wa Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Bwiru, Khadija Mpiwa (kulia), akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa msaada wa sh. mil. 18 zilizosaidia kukarabati vyoo vya shule hiyo. Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo. Anayefuatia ni Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye hivi sasa ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Said Amanzi.
 Meneja wa TBL Mwanza ,Richmond Robert akimkaribisha Mkurugnenzi wa Uhusiano na Sheria wa kampuni hiyo, Steve Kilindo kuzungumza na wanafanyakazi wa na walimu wa shule hiyo.

Mgeni rasmi Said Amanzi  na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Stve Kilindo, wakiongozwa na Mkuu wa Shule kukagua miundo mbinu ya shule  hiyo.
 Mgeni rasmi, Said Amanzi akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo ,mbele ni mkuu wa shule  hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.