Wake wa viongozi wampa pole mama Esther Sumaye

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipa Pole Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Esther Sumaye ambaye hivi karibu alifiwa na baba yake mzazi Mzee Natai wakati alipoongoza ujumbe wa wake wa viongozi ambao ni wananchama wa kikundi za New Millenium Group kwenda kuhani msiba huo, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu (frderick Sumaye (watatu kuli) Kibaha Mei Mosi, 2012. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA